Pichani ni Diamond Platnumz
msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana
huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya
utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha
msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri
sana kutoka kwa Diamond
Emanuel Adebayo &
Diamond
Diamond &
Iyanya
Peter & Emanuel
Adebayo
Baada ya hapo ikafika zamu ya
Diamond kuwaonyesha wa Naija kuwa na sisi wabongo hayo mambo
tunayaweza.
No comments:
Post a Comment