(News UPDATE) Kisa cha MABESTE kutoka B'HITZ MUSIC GROUP ni hiki hapa
Baada ya kutamka kuwa hayupo
tena kwenye team ya B'hits msanii wa Hip Hop nchini aliwaacha mashabiki wake
midomo wazi na wengine kutaka kujua ni nini kimetokea sasa Mabeste amefunguka
hapa na kusema
"Tatizo ni maelewano ya kibiashara kati ya mimi na uwongozi
wa B"hits na si vinginevyo.....!! Akuna mtu ambaye apendi kuona faida kwenye
kazi yake...!! Na kwasababu music ni kazi ...Baaasi nimejaribu kutetea kazi
yangu...!! Pamoja saana"
No comments:
Post a Comment