(News) KCB TANZANIA YATOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MKOA WA ARUSHA
Baadhi ya wajasiriamali wadogo
na wa kati wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanya kazi wa Benki ya KCB
Tanzania,mara baada ya kumaliza semina ya kuelimisha wajasiriamali wa mkoa huo
jinsi ya kufanya biashara na kutumia mikopo kwa usahihi,Semina hiyo
iliyoandaliwa na benki hiyo imefanyika kwa siku moja jijini
Arusha.
Mkuu wa kitengo cha
wajasiriamali wadogo na wakati wa benki ya KCB Tanzania tawi la Arusha,Bw.Juma
Abdul akitoa mada katika semina ya wajasiriamali wadogowadogo na wakati yenye
lengo la kuwaelimisha wajasiriamali wa mkoa huo jinsi ya kufanya biashara na
kutumia mikopo kwa usahihi,Semina hiyo iliyoandaliwa na benki hiyo imefanyika
kwa siku moja jijini Arusha.
Baadhi ya wajasiriliamali
wakifuatilia mafunzo wakati wa semina ya wajasiriamali wadogo na wakati wa mkoa
wa Arusha iliyoandaliwa na benki ya KCB Tanzania kwa ajili ya kujifunza jinsi ya
kufanya biashara na kutumia mikopo kwa usahihi,Semina hiyo iliyoandaliwa na
benki hiyo imefanyika kwa siku moja jijini humo.
Mmoja wa wajasiriamali Anna
Mrema akipokea cheti chake toka kwa Mkuu wa kitengo cha wajasiriamali wadogo na
wakati wa benki ya KCB Tanzania tawi la Arusha,Bw.Juma Abdul mara baada ya
kufuzu mafunzo ya ujasiriamali wakati wa semina ya wajasiriamali wadogowadogo na
wakati iliyoandaliwa na benki hiyo yenye lengo la kuwaelimisha wajasiriamali wa
mkoa huo jinsi ya kufanya biashara na kutumia mikopo kwa
usahihi.
Bw.Robert John(kushoto)mmoja wa
wajasiriamali wa mkoa wa Arusha akipokea cheti chake toka kwa Mkuu wa kitengo
cha wajasiriamali wadogo na wakati wa benki ya KCB Tanzania tawi la
Arusha,Bw.Juma Abdul(kulia) mara baada ya kufuzu mafunzo ya ujasiriamali wakati
wa semina ya wajasiriamali wadogowadogo na wakati iliyoandaliwa na benki hiyo
yenye lengo la kuwaelimisha wajasiriamali wa mkoa huo jinsi ya kufanya biashara
na kutumia mikopo kwa usahihi.
by mindu jr..... The future....
No comments:
Post a Comment