image in blog

image in blog
mindu

Monday, June 2, 2014

GEORGE TYSON kuzikwa KISUMU nchini KENYA Jumamosi ijayo ya tarehe 14

mwili wa marehemu GEOGRE TYSON alefariki dunia juzi ukitolewa mochwari katika hospital ya mororgoro kwa ajili ya maandalizi ya kuagwa na kuelekea KISUMU KENYA kwa ajili ya mazishi....
by jamafric.blogspot.com

Sunday, June 1, 2014

OTT solutions provider Visual Unity Global

OTT solutions provider Visual Unity Global is expanding its vuMobile platform into Africa after signing a new partnership agreement with Tanzanian media conglomerate Clouds Media. Tomas Petra (l) of Visual Unity with Joseph Kusaga of Clouds Media.Designed to rapidly mobilise mobile businesses and empower partners and resellers, the vuMobile platform will be white labelled, allowing subscribers to create mobile optimised websites in a fast and effective way, under the Clouds Media brand. In a country where nearly 80% of all internet access is carried out via a mobile phone, this partnership between Visual Unity Global and Clouds Media will bring significant benefits to the local business community. With the vuMobile platform, local companies will now have access to mobile optimised websites offering a highly intuitive and user friendly experience. Tomas Petru, CEO of Visual Unity Global, said: “By collaborating with Clouds Media we are helping to rapidly grow our web services for mobile devices in the Tanzanian market. Together with Mobile Money, vuMobile will complement the m-commerce offering of local SMBs.” Using vuMobile, businesses in Tanzania will have access to the latest website building technologies such as HTML 5/CSS 3 and Responsive Design. Moreover, the platform also enables an m-commerce presence, robust media streaming capabilities and QR codes. Joseph Kusaga, Managing Director at Clouds Media, said: “This partnership with Visual Unity will allow us to bring the most relevant and latest technologies to Tanzania, so that we can better serve our clients.” Gabriel Dusil, Chief Marketing and Corporate Strategy officer at Visual Unity Global, adds: “In Tanzania, as in many parts of Africa, a company’s mobile presence plays a critical role in establishing new revenue streams. vuMobile™ helps businesses to generate new subscribers, retain existing customers, and stand out from competitors.”

Tanzia: Bi. Shida Salum, mama wa Zitto Kabwe afariki dunia

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania, (CHAWATA), Shida Salum, ambaue alikuwa mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, aliyekuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya Ami, Masaki, Dar es Salaam akisumbuliwa na maradhi ya saratani, ameaga dunia. Zitto ametoa taarifa hiyo katika kurasa zake za Facebook na T
Rais Jakaya Kikwete alipomjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyekuwa amelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu (ICU) katika hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam hivi majuzi. (picha: Freddy Maro/IKULU) Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, bi. Shida alianza kusumbuliwa na maradhi ya saratani mapema Agosti mwaka jana lakini hali yake ilibadilika mapema mwaka huu akiwa mjini Dodoma akisubiri kuapishwa pamoja na wajumbe wengine wa Bunge Maalumu la Katiba. Zitto alinukuliwa akisema kuwa, baada ya hali ya mama yake kuwa mbaya alishindwa kuendelea kukaa Dodoma kusubiri kuapishwa na alipelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ambako aligundulika kuwa na saratani ya shingo ya kizazi na kupatiwa tiba kwa mwezi mmoja kabla ya kupelekwa India kwa matibabu zaidi. Alisema kabla ya kupelekwa hospitalini hapo, alikuwa akiendelea kupata matibabu akiwa nyumbani, lakini hali yake ilibadilika juzi. Zitto, ingawaje alisema hali ya mama yake haikutengemaa tangu aanze kusumbuliwa na maradhi hayo, alikuwa na matumaini: “Hali ya mama kwa kweli siyo nzuri, lakini nina imani itakuwa nzuri na kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa kama zamani,” alisema Kabwe ambaye alidai kuwa kutokana na maradhi hayo ya mama yake, alishindwa kuhudhuria Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma. Tangu kuanza kwa Bunge la Bajeti, Zitto alionekana Dodoma mara moja tu, siku ilipowasilishwa Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). P