Finaly!!!!!!……….I hope We ushacheza na
kuimba saaaaana na Diamond… sasa hii ni maalum kwa Mtoto wako, Mdogo,
Ucle, Aunty yako inshort Family!…ni this wednesday 25/12/2013 Christmass
katika kiwanja cha Leaders Club, itamwagwa Michezo yooooote ya watoto
ikiambatana na Burudani Kali toka @Wcb_wasafi ….ZINGATIA! Kuna kitu cha
RedCarpert Maalum kabisa kwajili ya Watoto, hivyo hakikisha mwanao
UnaMnyukisha vyakutosha!… Mvalishe kama Diamond, Aimbe kama Diamond,
Acheze kama Diamond, Ikiwezekana hata nywele Kiduku cha njano kama
Diamond…. Kwani nini si nini ama????? Sponsored by @Cocacolatz watoto
Dressed by @babyishtz cC @iviewstudios